L-Jay Maasai baada ya fununu za kuwa kafurushwa kwenye nyumnba aliyopanga sasa amerudi na shuti moto licha ya ukimya wake kwenye game la muziki.

L-Jay Maasai na Kupa Kupa

Ni msanii wa gospel Kenya ambaye ni balaaa sana kwenye vocals zake ni majuzi tu amewapana wapinzani wake ‘Willy Pozee na Bahati’ kwa kuwaambia wafunge bakuli lao kwenye muziki kwa ni yeye ndiye bingwa.

Leo live studioni msanii huyo wa ‘Ukitafuta Remix‘ ameachia ngoma mpya ‘Bado Bado’ akimshirikisha Kupa Kupa.

Mtangazaji wa radio hio, Nick Odhiambo amemtania kwa kuiga sauti yake ya kimaasai lakini pia kusifia signature tune yake inayomtofautisha na wasanii wengine kwani ni ya asili ya kiafrika zaidi. Tazama video hio YoTube channel ya MITEGO SASA. Pia usisahau subscribe!!

MitegoEA.