Simba aka Dangote siku ya leo ametikisa jiji la Pwani Mombasa yeye na Zari wake.

Diamond Platnumz

Mkali huyo wa ‘Eneka’ ameonekana maeneo ya Wild Waters akiponda raha Mombasa Raha ndani ya bahari.

Hata hivyo manager Salam amekuwa naye live Instagram wakiwaroga mashabiki wao huku kikosi kingine cha Wcb Wasafi, wakifunika Nakuru kwa bonge la show.

Rich Mavoko,  Harmonize na Rayvanny wamepiga show kubwa town hio ya Nakuru Kenya. 

#MitegoEA.