Kwa kweli swala la mapenzi ni tatizo kubwa hasa kwa binadamu yeyote duniani, ni jambo linalo umiza kila mtu nafsi na hisia zake.

Nmekusongeza kwa ukaribu na vigogo wawili wa rnb kutoka bongo; Baraka De Prince pamoja na Bonge La Nyau. Wasanii hawa wameungana na kuachia dude kali kuhusu vile mapenzi yanawatesa wengi, ngoma hiyo ikitambulika kama ‘Homa’.

Je! mshikaji upo tayari kusikiliza na kuitizama kazi hii mpya?

 #Mr_ChocoLove