Nakusogezea baadhi ya picha kwenye bonge la tamasha la Koroga Festival makala ya nane(8th edition) ambayo imefanyika kwenye ukumbi wa Carnivore Nairobi.

Tamasha hilo la siku mbili yaani Jumamosi na Jumapili limetamatika hii leo tarehe 30, July 2017 kwa style ya kipekee  kwani msanii mkubwa wa Nigeria ameshusha bonge la burudani pale.

Koroga festiva 7th edition ilimshirikisha msanii wa Tanzania na pia mkali duniani, Diamond Platnumz kwenye tamasha hilo la kusherehekea wasanii bora na wenye kazi za uhakika bara Afrika lakini pia duniani kwa ujumla, vyakula na utamaduni.

Hivi ndivyo ratiba nzima ilivyosimama kwenye tamasha hilo ambalo limekwisha leo Jumapili.

Saturday lineup:

  • Dj Kace
  • Dj Suraj
  • Dj Foozak
  • Dj Protege
  • EA Wave
  • Dj Slik

Sunday main act: D’BANJ D KOKOMASTER

  • Nairobi Horns Project
  • Eric Wainaina

Hizi ni picha za msanii D’Banj kwenye jukwa la Koroga Festival 8th edition. Tazama;

Dbanj kwenye stage

#MitegoEA.