Wema Reborn baada ya kuachia video mpya ‘Mbeleko’cover, amefunguka tena kuhusu collabo na wasanii.

Wema Reborn.

Mwimbaji huyo wa gospel amesema kuwa wasanii wote wa Wcb Wasafi, hawezi kujali ikitokea wampe collabo. Hii ni baada ya kutendea haki wimbo huo wa Rayvanny.

Hata hivyo, amezungumzia wasanii ambao hawezi kubali collabo zao. Rihanna amemtaja kama asiyeweza collabo naye kutokana na jina lake kubwa duniani kimuziki zaidi yake.

Msanii wa rap Kenya, Timmy T’Dat ameorodheshwa. Kwenye gumzo na Mitego Sasa, amesema hivi; ” Hivi, Mimi una expect niimbe na Timmy t dat?” Amekiri kwamba ni mwimbaji mzuri ila kwake bado.

” He is a good artist I support his music and everyones music , Timmy is a good one .. Lakini Mimi Kama mimi collabo yake siwezi taka.Nivile ukiskiza maneno imejaa matusi”  ameweka wazi Wema.

Wema Reborn.

Bahati na Willy Pozee ametaja kupenda kazi zao.

#MitegoEA.