Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Rayvanny anapata bonge la surprise kwenye wimbo wake wa ‘Mbeleko’ kwani msanii wa kike Kenya ameitendea haki.

Wema Reborn mwimbaji wa gospel ameachia video ya ‘Mbeleko’ cover ya mkali huyo wa bongo fleva kutoka Wcb Wasafi.

Wema akipiga gumzo na Mitego Sasa, amefunguka kuhusu kwanini akachagua Mbeleko wala sio Eneka ya Diamond au ‘Niambie’ ya Harmonize. 

“I chose mbeleko because its a love inspirational song … Love is the greatest commantment and the first in the bible….”asema Wema lakini pia kuongeza hivi; “Its good to appreciate those who are close to you” akafunguka Wema. 

Mwimbaji huyo amesema kwamba ni ngoma inayochezwa hata kwenye harusi na watu wanaifurahia japo sio wengi wanafahamu maana yake.

Hata hivyo ameweka wazi kuhusu ujio wake mpya wiki mbili zijazo kwani ngoma na video ziko tayari.

“There is a big song coming soon inaitwa Wewe Ni Mungu” yeye kamaliza hivyo.

Video Link>>https://www.youtube.com/watch?v=RRoB0Um0Lrg&feature=youtube_gdata_player

#MitegoEA.

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

1 COMMENT

Comments are closed.