Tajiri na mjasiriamali mkubwa duniani amewasili nchini Tanzania kimya kimya huku akizuru miradi ya afya mkoa wa Tanga.

Bill Gates na viongozi wa miradi

Bilionea huyo inasemekana amewasili ili kukutana na viongozi wanaosimamamia miradi hio ya kutengeneza dawa maalum ya kupoza na kupunguza uvimbe wa miguu na mapaja ya binadamu.

Gates na kundi la viongozi wa miradi Tanga

Bill Gates kwa sasa anatangamana na viongozi hao na wengineo serikalini ili kuimaraisha miradi yao kwa kuwapa ushauri na mchango wa kifedha ili kufanikisha miradi hio. Kwa sasa ameshatua mkoani Dar Es Salaam.

#MitegoEA.