Collabo inayosubiriwa kwa hamu baada ya uchaguzi nchini Kenya ni moto na kubwa zaidi.

Baada ya ukimya wake mkali wa bongo fleva hadi kubidi mashabiki kuomba angalau aachie ngoma mpya, sasa kilio chao kimeskika.

Willy Pozee na Ali Kiba.

Ali Kiba aka King Kiba ameonekana kwenye picha ya pamoja na msanii wa gospel Kenya, Willy Pozee aka Pablo.

Huenda wakali hao wakaachia  collabo yao karibuni.

#MitegoEA.