Msanii wa Wcb Wasafi yake Diamond Platnumz amempiga chini boss wake huyo anaye tisha na video yake ya ‘Eneka’.

Rayvanny

Rayvanny aka Vanny Boy kwa sasa amekuwa top in town na kusambaa kwenye mitandao huku mashabiki na wadau wengi wa muziki wakionyesha kuvutiwa na kazi zake mno kuliko za boss wake Diamond.

Kwa mujibu wa mtandao wa YouTube ni kwamba wimbo wake Rayvanny ‘Chuma Ulete’ . Kwa sasa ndio ngoma hio ina views nyingi kuliko ngoma kibao zilizoachiwa majuzi za wasanii wengine ikiwemo yake Platnumz ‘Eneka’. Tazama;

Rayvanny kumbuka alijishindia tuzo ya BET 2017 huko Marekani na kuwa msanii wa kwanza mchanga kuwahi tuzo hio kubwa duniani akitokea Afrika Mashariki. Pia mklali huyo wa ‘Zezeta’ anaania tuzo nyingine katika Afrimma 2017, Nigeria tarehe 8, Oktoba 2017 kwenye kitengo cha Best New Comer.

Tazama hii hapa chini;

#MitegoEA

2 COMMENTS

Comments are closed.