Harmonize

Verse 1
Ujana ni maji ya moto yashaniunguza mimi nataketea
(Youth is hot water , I have burned and i am lost)
Niliwakana watoto wangeniuguza sikutegemea
(I abandoned my childen ,they took care of me i never imagined)
Na kama dunia tambala langu lishatoboka
(If the world is a rug mine is torn already)
Sina hata pakulala nakesha kwa Kimboka
(I dont even have a place to sleep , I sleep at kimboka street)
Wale marafiki niliokula nao na kunisifu sasa siwaoni
(He friends that used to proud of me , I no longer see them)
Eti sina kiki siendani nao kwa kuwa sina kitu mfukoni
(I am not trending so i cant cope with them because i dont have a cent)
Kama pesa nilipata nikadharau hadi wazazi
(I had money before but i despised my parents)
Nikakesha kula bata najisahau
(I used to spend and party hard)
Na Kumwaga radhi

Chorus

Wa kunifariji
Oooh sina
Ooh yani sina eeh
Oooh sina
Wa kunipa imani
Ooooh sina
Ooooh sina mama
Ooooh sina eeh
oooh sina hata wakunifariji
ooh sina eeh
Kunipa moyo niendelee
Oooh sina
oooh sina mama
Oooh sina oi yeeh

Verse 2

Mhhh asiyefunzwa na mama ufunzwa na dunia mesemo ya wahenga
(One who wont be taught by a mother will be taught by the world, Thats an old saying)
Family ndugu lawama sikutaka wakaribie kwangu nilipojenga
(I didnt want my family and relatives to come over my house)
Pondamali eti kufa kwaja heheeee
(spend like there is no tommorrow)
Kumbe nivukako mbali navunja daraja
(I never knew if had a long way to go and started breaking the bridges )
Jua likizama nafsi inanyongea mawazo
(When the sun sets i get stressed and think about everything)
Nani nimpe lawama peke yangu naongea hamnazo
(Who shoould i blame i am speaking to myself like a crazy man )
Kama pesa nilipata nikadharau hadi wazazi
(I had money before but i despised my parents)
Nikakesha kula bata najisahau
(I used to spend and party hard)
Na Kumwaga radhi

Chorus

Wa kunifariji
Oooh sina
Ooh yani sina eeh
Oooh sina
Wa kunipa imani
Ooooh sina
Ooooh sina mama
Ooooh sina eeh
oooh sina hata wakunifariji
ooh sina eeh
Kunipa moyo niendelee
Oooh sina
oooh sina mama
Oooh sina oi yeeh

Verse 3

Pesa pesa
(Money money)
Pesa pesa
Pesa pesa
Pesa pesa
Pesa pesa
Pesa mfano wa puto zinapepea starehe ndo sindano
(Money is a model of a flying balloon luxury is a needle)
Pesa pesa
Chunga yasije majuto tena take care igeni mifano
(Try not to regret, learn from examples)