Yamoto bend tangu taarifa za kusambaratika kwao kila msanii sasa anaonekana akipambana hali yake ili kufanikisha malengo ya muziki wake.

SIKINAI

Msanii Aslay wa Yamoto amekuwa kwenye vichwa vya habari kutokana na harakati zake za kuachia ngoma mpya kila baada ya wiki hadi kuwanyima nafsai wasanii wenzake kuachia nyimbo zao lakini pia inadaiwa anazidi wapa muda mgumu mashabiki kufahamu nyimbo zake.

Hatua hio inayosadikiwa ni ushindani ili wenzie wasipate kuskika, imevuta hisia tofauti kwani juzi mwenzake msanii Beka Flavour amelala kuona Aslay akifanya kitendo hicho kwani alisema kuwa akijipanga kuachia wimbo, Aslay naye ana tangulia kuachia.

Beka ameachia wimbo wake wa pili baada ya kuachia ‘Libebe’ na sasa anajitahidi kufanya muziki kinafsi bila ya makundi. Wimbo huu ameachia siku punde baada ya Aslay kuachia ngoma yake kwa jina ‘Likizo’.

Beka Flavour anaonekana kwenye ubora wake na mashairi matamu ya bongo fleva huku akimsifia mwanadada kwenye wimbo wake mpya ‘Sikinai’.

#MitegoEA