Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Mpya kutoka usafini Wcb Wasafi msanii kwa jina Lava Lava amefunua dude jipya baada  ya kutisha na kusumbua playlist nyingi kwenye media tofauti na ngoma yake ‘Tuachane’.

Wasanii wa lebo hio kubwa Afrika Mashariki wakuwa na mtindo wa kuachia ngoma kwa kupeana nafasi ili kupata nafasi kwenye media na kufahamika vizuri na wafuasi wao.

Diamond ambaye ndiye boss wao aliachia ngoma yake ‘Eneka’ majuzi na sasa ni zamu ya dogo huyo kutesa anga za burudani kupitia wimbo wake mpya ‘Dede’ ambao video ipo tayari kwenye YouTube.

Dede

Ni wimbo wa mapenzi zaidi kwani anaonekana kufurahia maisha na kumsifia mwanamke wake tofauti na hali ilivyo kwenye ‘Tuachane’ ambapo alilalamikia mahusiano mabovu na mrembo wake hadi hatua ya kukata tamaa na kuona bora waachane.

Ndani ya Wasafi wimbo umetayarishwa na Lizzer Classic na video chini ya mikono ya Kenny.

#MitegoEA.

 

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

11 COMMENTS

  1. Weⅼl, Im stunned you aall left the very extra greatest onee for me.?
    Daddy mentioneɗ with a teasing smile. ?It?s that he
    Ԁespatched Jesus to die for սs and give uus life ceselesѕly and evwr and that due
    to thɑt wepl be a household in heaven for tens oof
    millions of years. Тhat?s fairly g᧐od iswnt it?

Comments are closed.