Dully Sykes

Intro
Eyo Laizer
Handsome
Prince Dully Sykes Brotherman
Oyaa
Harmonize
Wasafi Records

Verse 1

Harmonize
Si sura tu bali shape na tabia
Alivyobarikiwa ah Shala mola
Amemwumba mi roho juu
Akiniangalia moyo unatulia
Ni uzuri mwakalonga

Dully sykes

I say hi hi kwanza nafurahi
Kabla hujanipa mambo nipe kikombe
Cha chai
Najidai huku very fine ,bila shy hi
Mai mama Rai mwana ya masaai?

Hook

We ni babe bila kipimo
Macho mpaka visigino
Nikumwagilie wino
Yangu siyo mbilikimo
We ni babe bila kipimo
Macho mpaka visigino
Nikumwagilie wino
Yangu siyo mbilikimo
Mama akinioniona
Anacheka eeh anacheka
Anadensi eeeh anadeka
(Aaa akiniona)
Anacheka eeh anacheka
Anadeka eeeh anadeka

Chorus

Inde mama Inde Inde mama Inde
Inde mama Inde Inde inde monie
Inde mama Inde Inde mama Inde
Inde mama Inde inde inde monie

Verse 2 – Dully sykes

I say lala kiuno chako Propeller Body
Yako umeivisha dela uzuri mpaka
Unakera
In the morning unanipa
Bila shaka
Mwingine hapana taka
Kiunoni babe wacha Mashaka
Mie hoi nyakanyaka mwingine sioni
Unautamu wa bata natafuna
Ninanyotaka..
Nipatiwe wa Arusha

Hook

We ni babe bila kipimo
Macho mpaka visigino
Nikumwagilie wino
Yangu siyo mbilikimo
We ni babe bila kipimo
Macho mpaka visigino
Nikumwagilie wino
Yangu siyo mbilikimo
Mama akiniona
Anacheka eeh anacheka
Anadensi eeeh anadeka
(Aaa akiniona)
Anacheka eeh anacheka
Anadeka eeeh anadeka

Chorus

Inde mama Inde Inde mama Inde
Inde mama Inde Inde inde monie
Inde mama Inde Inde mama Inde
Inde mama Inde inde inde monie

Bridge – dully sykes

Na si mchoyo unanibamba minakwisha kabysa
Kama kibogoyo unavyoilamba nadakika kwa visa
Pala pala papapala lala
Pala pala papapala lala

Chorus

Inde mama Inde Inde mama Inde
Inde mama Inde Inde inde monie
Inde mama Inde Inde mama Inde
Inde mama Inde inde inde monie

Waka waka waka waka

Waka waka waka waka
waka..

#MitegoEA.