Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Harmonize

Verse 1
Kwanza nina furaha,
Nitaimba na kucheza (na kucheza)
Washa mishumaa,
Weka keki juu ya meza, (juu ya meza)
Oh ila usinicheke,
Nimekuletea zawadi,
Kidogo nilichobarikiwa
Haki mwana mpweke,
Aje na dumu la maji asije akumwagia
Ah nakapicha kao nitakoposti,
Wasiokupenda itawacosti,
Ah leo siku yako nishajikoki,
Tuko rafiki zako tunasema

Chorus

Happy birthday
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday
Happy birthday to you
Happy birthday to you

Verse 2

Ah sinywagi pombe leo ntalewa
Niwape shonde waliochelewa
Zikinipanda monde nitapepewa
Ah pembe la ng’ombe au malewa
Ila usiforget, kusema asante baba na mama
Walokukuza ukakua
Tunakupa na keki kwa wema
Akulinde baba Maulana
Twakuombea na dua
Ah na kapicha kako nitakaposti,
Wasikupenda itawacosti,
Ah leo siku yako nishajikoki,
Tuko rafiki zako tunasema

Chorus

Happy birthday
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday to you

Kata keki kata,

Kata
Ooh Kata
Kata
Kata unilishe
Keki ya jina lako, kata
Waoneshe na wenzako, kata
Tupo kwa ajili yako ,kata
Kata unilishe
Ooh basi kata
Kata
OohKata
Kata nikuone
Kata unilishe
Kata
kata
Kata unilishe
Ooh nakapicha kako nitakaposti

#MitegoEA.

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

1 COMMENT

Comments are closed.