Ommy Dimpoz

Ninawaza ni yule yule au nimeona mzimu
Ulivyonipita kwa kasi ya 4G
Nilikuja nikusalimu
Simu nilipotezaga
Umenishow madharau najuta
Nayakumbuka yale mapele nakukuna
Umejisweka kwenye shuka
Unaona aibu leo mashallah
Marembo ya china unayovaa
Kwa huo mkorogo ulivyongaaa
Umejichubua chubu
Labda ushamba wangu ndo uloniponza
Ningeomba appointment ndo ungeongea
Yaani na ndala zangu nilivyongojea
Nikuone usoni tu umenishushua
Shushue shushu

(Chorus)

Hivi ndo umesahau

Cheche za upendo wangu
Kisa u star
Hivi ndo umesahau
Cheche za upendo wangu
Kisa u star

Na jina sishangai nilikosea

Umebadilisha unaitwa Queen wa mapenzi
Na pia ulaghai umezoea
Kuwabadilisha wenye fedha me mshenzi
Nayakumbuka yale mapele nakukuna
Umejisweka kwenye shuka
Unaona aibu leo mashallah
Marembo ya china unayovaa
Kwa huo mkorogo ulivyongaaa
Umejichubua chubu
Labda ushamba wangu ndo uloniponza
Ningeomba appointment ndo ungeongea
Yaani na ndala zangu nilivyongojea
Nikuone usoni tu umenishushua
Shushue shushu

(Chorus)

Hivi ndo umesahau

Cheche za upendo wangu
Kisa u star
Hivi ndo umesahau
Cheche za upendo wangu
Kisa u star
Hivi ndo umesahau
Cheche za upendo wangu
Kisa u star
Hivi ndo umesahau
Cheche za upendo wangu
Kisa u star

Nenda salama

Oh mama nenda
Nenda salama
Nakuombeaa
Nenda salama
Oh mama nenda
Nenda salama
Nakuombeaa

Ommy Dimpoz

#MitegoEA.