Hivi mara ya mwisho kuskia mtu amepoteza pesa ni lini na ulimwengu ulivyobadilika kiuchumi na mahitaji kibao. Ama kweli itakuwa ni ajabu kubwa kuskia mwanadamu amesahau deni lake pesa aliyomkopesha mwenzake.

Mwanamke wa Canada

Kama haitoshi basi fahamu kuwa kuna mwanamke kapoteza pete yake ya ndoa kwa pindi kirefu mno hadi kuvamiwa na uzee bila kufahamu ilipo. Nchini Canada mwanamke mmoja mzee ameripotiwa kupoteza pete yake hio ya ndoa na bahati nzuri akafanikiwa kupata kwenye shamba lake ikiwa kwenye karoti moja huku imejishindilia vizuri kama kwamba ndiyo mchumba wake.

Pete hio yapata miaka 13 na kuwa kama muujiza mkubwa kuwahi kumfanyikia masiahani.

Pete kwenye Karoti