Eric Omondi kumbe amekuwa amezama kwenye comedy kutokana ana huu ubunifu wake wa kuigiza nyimbo za msanii staa duniani kutokea bongo Tanzania?

Mcheshi huyo wa Kenya anafahamika sana kupitia utani wake wakati yupo jukwanii haswa Churchill Show lakini pia amejituma kuhakikisha mashabiki wake hawakosi cha kufurahia kila uchao.

Eric Omondi

Eric amekuwa akiigiza video za ngoma za Diamond Platnumz kama vile ‘Salome, My Number One, Ntampata wapi, Utanipenda’ na nyinginezo. Sasa Eric ameachia video kali remix ya ‘Eneka’ ya Diamond.

Kwenye video hio amegeuza mistari kadhaa na chorus huku akionekana kuimbia kuku wake na pombe pamoja na unga wa ugali.

Tazama video hio mpya hapa chini;

#MitegoEA.