Verse 1.
Ona siri za nyumbani, nazimwaga zote hadharani..

yote kisa ni visenti, vimenichanganya hata sioni..

nlipokwacha sikudhani, nitakuja iwe balaa..

Mara kesi mitaani, Mara mama kulalama..

sija sahau ya kiapo,  wala sijakuwa kichaa..

nili amua kusakanya, hata siku usilale njaa..

Ila bado sijajaliwa, nyota yangu inazama..

huku bado nahangaika, mola tu ndo ataniokoa..

Bora kifo, maana najiona kwako sifai..

tena mamangu alipo, anajuaga naishi kwa raha..

CHORUS

Subiria, me ndo wako..

subiria, tushakula kiapo..

subiria, haifiki ata kesho..

subiria, we punguza mawazo..

VERSE 2

Hizi dhiki karaha, zisikufanye uhepe kitaa..

ugumu wa maisha sio dhambi, usinihukumu wangu mamaaa..

moyo wangu unahangaika, sababu yako mama..

nikipiga simu unalia, inanichoma sana..

aah, subira subira, inakuchosha sana..

aah vumilia vumilia, tutakula vya raha..

huku mjini nahangaika, sababu yako mama..

nikipiga simu unalia, inaniumiza sana..

nasema bora kifo, maana najiona kwako sifai..

tena mamangu aliko, anajuaga naishi kwa raha..

Ooh mi bora kifo, maana najiona kwako sifaai.

ooh mamangu uliko, anajuaga naishi kwa raha..

CHORUS

Subiria, me ndo wako..

subiria, tushakula kiapo..

subiria, haifiki ata kesho..

subiria, we punguza mawazo..

 

#MitegoEA.