Akothee ameamua sasa na muziki sio tegemeo lake la pekee bali ana maisha yake ni zaidi ya kuimba.

Msanii huyo wa kizazi kipya kutokea kaunti ya Kisumu Kenya, amepost picha na video fupi kwenye mtandao wake wa facebook huku akilalamikia kiasi kidogo cha marupurupu na posho anayopokea kutoka kwa halmashauri ya kusimamia haki za muziki na wasanii Kenya MCSK ambayo kwa sasa imespokonywa cheti cha utenda kazi na kukabidhiwa MPAKE.

Kwenye post hio ameandika ujumbe mzito na kiasi ha pesa ambazo amepokea tangu mwaka jana kwamba hakikithi mahitaji yake kama msanii kwa hivyo ni bora kufanya biashara za ukulima kujiongzea kipato huku akisubiria mgao mwingine baadae.

“akotheekenyadont ask me about music right now , the last cheque I recieved from MCSK was 56,000 in October last year , this is salary for only 2 of my domestic employees per month, this cant even pay my photographer ?? so leave me alone , listen to the ones on yuotube , like baby daddy link on my bio & the rest , leave music for now will collect it next month ???? awards are coming give me what you think I deserve” ameandika Akothee.

Ameambatanisha pia na video fupi akiwa shambani akipanda mbegu.

Madam Boss

#MitegoEA.