Usafini bado verse ya Diamond kwenye ‘Fresh Remix’ ngoma yake Fid Q aka Ngosha inazidi kuponza roho za baadhi ya wasanii walengwa lakini pia kunuka kama kinyesi kwenye mitaa tofauti yenye mashabiki wa wapinzani.

Simba ameliamusha bifu baina yak na hasimu wake wa toka ajadi, Ali Kiba na pia aliyekuwa rafiki yake wa karibu, Ommy Dimpoz aka Pozi kwa Pozi.

Wasanii hao wawili kwa sasa wako chini ya lebo moja ya muziki, Rockstar 4000 huku Diamond ndiye mwenye lebo ya Wcb Wasafi.

Diamond

Platnumz amepost ujumbe kwa aina ya kurap au verse yenye maneno makali kwa hao wabaya wake. Hii hapa>“Kufanya verse moja tu naona povu linawashuka,kina dada wavaa vitop na vibukta,hawatoi ngoma kazi twitter kunisuta”

Hata hivyo hajamwacha Ommy Dimpoz salama kwani amemtupia vijembe na kumtukana kwenye mtandao kupitia maneno yake ambayo yako hapa chini;

“Wasafiria nyota na hapa pia na jua ruska,wengine vishavu nukta lips kama tuta najiuliza ni laana au wameumbwa na hulka” akamaliza Diamond.

Ommy Dimpoz

#MitegoEA.

3 COMMENTS

Comments are closed.