Wasanii mastaa na wakali kwenye industry ya muziki duniani wamekuza brand na majin ayao sio tu kwamba ni bahati bali ni juhudi zao na wadau wanaowapa mkono.

Game la muziki kwa sasa limekua na kubadilika hivyo ni kila msanii kupambana na hali yake ili kufikia malengo yake kisanaa na kuwa kielelezo kama walivyofanya wasanii wengine mastaa.

Huu ni muda wako sasa kuonyesha uwezo wako kupitia Mitego Rate of Fame, ambapo wasanii wasjisali kupitia kupiga LIKE page ya facebook yetu: www.facebook.com/MitegoSasa kisha kutufuatilia kwwenye mitandao ya kijamii ili kufahamu zaidi mikakati yote inayohusika pamoja na vigezo na msharti ya wasanii kuwania afasi hio.

Msanii anapaswa kupost ngoma yake kwenye huo ukrasa wetu iwe audio au video ya wimbo wake bora anaopenda kuwania tuzo zetu na kupata promotion kwenye social media na pia kwenye media houses. Kisha hakikisha unapata likes za kutosha ili kushinda nafasi hio kwani idadi ya Likes ndio kigezo cha msingi zaidi.

Wasanii wanne ndio watakao fuzu hatua ya mwisho na kutuzwa na kupata promotion; Wawili wa gospel na wawili wa secular songs.

Kwenye registration kuna ada ya Ksh 500/ kwa kila mshirika ili kuleta ushindani wa hali ya juu na kufanya shindano liwe la kweli bila watani kujitosa ndani. Tuma pesa sasa ndio upate email address ya kutuma details zako ili kufanikisha masuala ya promotion ya muzi wako. Namba hii: +254702662012.

#MitegoEA.