Kutoka EMB Records ni ‘Ndogo ndogo’ collabo ya wasanii wawili wa lebo hio ambayo ni ya mwimbaji wa gospel Kelvin Bahati.Davidi Wonder ambaye amesainishwa kwenye record label hio amemshirikisha boss wake Bahati na mara hii wameachia wimbo na video moto ambayo mwanzoni ikianza inatambulishwa na washekeshaji magwiji humu nchi, Shiti na Njugush.

Ndogo ndogo’ inazungumzia vitu ambayo havifai kumfanya mtu kumkufuru mwenyezi mungu kwani ametendea watu mengi na pia kuikomboa dunia.

Tazama video hio hapa chini kisha kumbuka na kusambaza upendo.

>MitegoEA