Msanii mkongwe na maarufu kwenye game la muziki wa gospel nchini Kenya amatoa ushauri wa bure kwa vijana wote ili kujituma na kufanikisha malengo yao.

Daddy Owen

Daddy Owen amefunguka kupitia ukrasa wake wa twitter na kuwataka vijana kuwa na ubunifu na kujituma zaidi ili kuona mafanikio ya kazi zao kwa dunia inawategemea wao kama nguvu kazi.  Msanii huyo ambaye ametesa ngaza za burudani kuwa ngoma zake kama vile ‘Jumapili, We ni Mungu’ Kazi ya Msalaba, Vanity‘ na nyinginezo ameandika kama ifuatavyo;

“Focus.. just FOCUS.. U might be the answer and solution the world is waiting for.. FOCUS!” amepost Daddy Owen

MitegoEA.