Leo maeneo ya Malindi kunashuka bonge la burudani kutoka kwa msanii mmoja wa kizazi kipya.

Beka The Boy anazindua video yake mpya na ambayo inazungumzia kuleta umoja na kukuza utamaduni was jamii ya Waswahili, Giriama, na Italiano. Ni msanii ambaye anafanya vizuri kwenye game la muziki Kenya na amefanikiwa kuingia kwenye jumba la kifahari la bwanyenye mmoja kwa jina Grampaola Tammasi na kushoot video yake hio mpya.


Video hio kwa jina ‘Jidai’ imeongozwa na Marvin Brudaz na audio chini ya mikono yake producer Totti.

Beka The Boy anazindua video hio saa kumi na moja Jioni hii leo.

#MitegoEA.