Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Msanii wa muziki wa injili Kenya na anayevuma kupitia nyimbo zake nzuri kama vile ‘Pamela’, amefunguka ya moyoni kuhusu msanii Bahati.

Ringtone

Ringtone Apoko baada ya kushutumiwa na msanii mwenzake wa gospel, Papa Dennis kwamba yeye kama angefanywa ringtone ya simu baina ya Smartphone na iPhone, labda anaweza kwa ring tone ya Motorola pekee.

Msanii mwenye siafa zake kwenye game la muziki nchini amefunguka ya moyoni na kusema kuwa yeye hamfahamu msanii kwa jaina Papa Dennis na wala hajui natokea nchini gani.

“Kwanza ni nani huyo Papa Dennis, je anatokea nchi gani sijaskia hataa. Mimi ni msanii wa gospel tena naendaga kanisani ebu muulize Willy Paul. Huyo kwnaza anaendaga church gani Papa Dennis? akauliza kwa kusema hamtambui.

Kupitia kipindi cha Konnect, Radio Maisha, baada ya kuulizwa kwa nini wasanii wa gospel wanakuwa hawana umoja kwenye kazi zao za kumtumikia Mungu, Ringtone amejisifia kwa kusema kuwa yeye ndiye msanii wa kwanza kuanza mambo au kampeni za kusaidia yatima na watoto wa mtaani wasiojiweza na wasanii wengine wa gospel wemeanza kuiga tu.

“Wajua Mwende mimi ndio first gospel artist Kenya kuanza campaign ya kusaidia street children na orphans, Bahati amecopy tu idea yangu” akasema Ringtone.

Hata hivyo msanii huyo amekii wazi kuwa anataka mwanamke afunge ndoa naye kwani anahitaji kuwa na familia na kwa sasa hajafanikiwa kupata mmoja ambaye yupo tayari kwa ndoa na mcha Mungu.

#MitegoEA.

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.