Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Kazi moto muziki mzuri umedondoka rasmi kwa ajili yako shabiki wa gospel music.

Chao  Msanii ambaye ni rapper na mwimbaji stadi was nyimbo za injili ameachia ngoma mpya na kali kwa jina ‘Remind Me’.

Chao yupo jijini Nairobi anapojishughulisha na kazi yake ya Sanaa ya muziki ili kuhakikisha unapata muziki mzuri wenye ladha tamu kwani ana kipaji na uwezo wa kukujengea furaha kupitia muziki wake.

Skiliza ngoma yake mpya hapa chini;

http://mdundo.com/song/97266

#MitegoEA.

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.