Tasnia ya muziki Kenya imepata sura mpya baada ya kuzinduliwa kwa tamasha kali la kusaka wasanii wenye uwezo mkubwa wa kuimba haswa wale wanachipukia ili kuwapa nafasi ya kung’ara na kuonyesha kipaji chao.

Mitego Sasa Rate of Fame ndio poster ambayo inaonyesha jinsi ya kufanya usajili wako na kuwahi nafasi ya wewe kuwa staa wa muziki kwa kupata promotion ya muziki wako sasa.

Ikiwa wewe ni msanii basi isikupite hii habari ya jiji ya kusambaza muziki wa wasanii watakaoibukia washindi kwenye shindano hili ambapo msanii anastakiwa kuweka jina au ngoma yake kwenye facebook page ya Mitego Sasa Blog> www.facebook.com/MitegoSasa kisha uhakikishe umepata ‘Likes’ za kutosha zaidi ya post za ngoma za wasanii wenzako kwa kuwaomba mashabiki wakupe support ya ku-Like’ post ya ngoma yako.

Kwenye shindano hili kutakuwa na washindi wanne; Wawili wa muziki wa gospel na wawili wa secular kisha wasanii washindi watatuzwa hapo hapo pamoja na muziki wao kupata promotion kwenye media houses East Afrika.

Hata hivyo, ili kuhakikisha ubora wa kazi hii na kutenga watu wenye mzaha kuna fee ya kulipa shilingi Ksh 500/ ili upate registration. Tuma sasa pesa ya usajili kwenye hii namba rasmi; +254702662012 sasa.Karibu!!

>MitegoEA.