Hili gari la abiria linahudumu mitaa ya jiji kuu la Nairobi na ubeba watu kwenda shughuli zao za kila siku.

Mlangoni kwa dereva pameandikwa wazi kuwa mwendo wa kasi wa gari hilo barabarani ni balaa kiasi cha dereva mwenyewe kupata hofu na ndiye anayeiendesha. Je abiria hatima yao gani?

#MitegoEA.