Jamaa mmoja azua kicheko alipokuwa akibandua yai ili ale wakati alipokuwa mezani na mrembo ili kujiba shibe ya siku.

Maankuli yaliokuwepo mezani yalinoga utamu huku jamaa akionyesha kuridhishwa na msosi na kuamua kufanya kama alivyofanya mrembo huyo kuangua madanda ya yai hilo kwa style ya kugongesha kwenye paji la uso wake.

Jamaa apasulia yai kichwani.

Mrembo alichukua yai la kuvhemshwa na kulipasulia kwenye uso wake huku jamaa akilipasulia lake kwenye paji la uso wake kumbe lilikuwa halijachemshwa basi kumwagia urojorojo wake kwenye mavazi yake na kuchekwa sana na huyo mrembo kwani ilikuwa kama mtego fulani kwake.

MitegoEA.