Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Mchekeshaji kutoka Kenya, Erick Omondi amedondosha video nyingine baada ya aliyoiwachia awali kufanya vizuri.

Erick kama anavyotambulika kwa kutoa refix kwa ngoma wa mkali wa bongo Diamond Platinumz, aliachia Refix ya ‘Eneka’ na sasa amerudi tena na kudondosha video nyingine ya ‘Zilitemwa’ kupitia ngoma walioimba WCB All Stars Zilipendwa.

Pati kuitizama kazi hii hapa ????

#MitegoEA.

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

1 COMMENT

Comments are closed.