Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Mitego Sasa Blog imetanua mipaka na sasa itakuwa inakuletea mwanamke mrembo ambaye ameshika nafasi ya kwanza kila mwishoni mwa wiki.

Wiki hii baada ya kunyapia nyapia mitandaoni, nimekutana na picha za mrembo mmoja mwenye asili ya Kijaluo (Luo lady) ambaye hutokausha kutazama picha zake za ulimwende na endapo ukifanikiwa kukutana naye jicho kwa jicho, utadondokwa na mate kwani ana bonge la shape mwanekano laini na jina tamu- Wendy Alex.

Wendy  ni mrembo sio tu kwenye picha na mwonekano bali tabia na sifa zake njema kwenye jamii na utenda kazi wake mwema.

Huyo amechukua nafasi ya kwanza ya makala yetu ya kila wiki ya Mitego Urembo.

Tazama picha zake hapa chini; 

#MitegoEA.

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.