Mchekeshaji wa kipindi maaraufu cha Churchill Show ameibuka na jingine la burudani. Hii ni baada ya kudondosha video  moja kali saa chache zilizopita.

Msanii huyo mwanasarakasi anayefahamika kama Eric Omondi ndiye aliyetoa refix ya zilizopendwa ya wcb hivi jana. kwa sasa amerudi tena na ujio mpya wa msanii mkongwe wa jamuhuri ya tanzania anayefahamika kama King Kiba au kwa ufasaha Ali Kiba .

Pata fursa ya kutazama kazi hiyo hapa.

[https://m.youtube.com/watch?v=SL1uxIGF9KU] [Eric Omondi – Shock Me/ Seduce Me Refix – YouTube] is good,have a look at it!