Mkali huyo mchekeshaji ameachia video cover mpya ya ngoma ‘Seduce Me’ ya Ali Kiba.

Eric Omondi baada ya kutendea haki wimbo wake Diamond ‘Eneka‘ kisha ‘Zilipendwa’ ya Team Wcb sasa ameachia npya ya wimbo wa mkali Ali Kiba ‘Seduce Me’.

Ngoma hio ameipa jina la ‘Shock Me’. Hii hapa.

#MitegoEA.