Wasanii chipukizi wanazidi kujituma na kuja kwa kazi kuliteka soko la muziki na burudani. Wasanii wacahanga nchini Kenya haswa kutoka eneo la Pwani wameonyesha harakati zao za kuukomboa muziki wa eneo hilo kutokana na hali ya kuwa nyuma kwenye cahrt za muziki nchini.

Mitego Sasa Blog imepiga story na msanii mmoja kwa jina George Henry maarufu kama Fleyon msanii wa kazazi kipya amanye amekulia Pwani.

Msanii huyo ameweka wazi kuwa muziki kama sanaa yoyote ile inahitaji busara mno na kikubwa zaidi talanta. Alinza kujitosa kwenye game la muziki akiwa na umri mdogo kipindi yupo shule ya msingi kwa kujifunza kupiga vinanda na kuchana mashairi mbele ya watu.

“I started writing and recording my own songs when I was in secondary school that is in form 2. I could shoot my own videos but never gave them out that far. it is then after finishing high school I decided to take my music to another level.” akasema Fleyon

 

 

Fleyon

 

Hata hivyo ameamua kuuza muziki wake rasmi kwenye soko pana la dunia baada ya kuhitimisha masomo yake. Kwa sasa msanii Fleyon anazo nyimbo kadhaa nzuri zenye ujumbe ikiwemo ngoma yake ‘Lean On Me’.

Tazama video yake hii hapa chini;

>MitegoEA.