Wimbo wa msanii mkali wa bongo fleva  ‘Seduce Me’ umevuma bongo, Kenya mpaka kule Uganda.

Wasanii wengi wameamuwa kuufanyia cover wimbo huo kwa kuwa unapendeza unapousikiliza venye unavyoimbwa kwa ustadi zaidi.

Pata fursa kusikiliza wimbo huu wa Ali Kiba ulivyoimbwa kwa madoido na mchekeshaji wa bongo kwa majina kamili Mau Fundi.

Usipitwe kutazama video humu kwa kubonyeza hapa chini;


#MitegoEA.