Wasanii wachanga nchini Kenya wamekuwa kwenye vichwa vya habari kutokana na juhudi zao za kufanya magaeuzi kwenye ulingo wa muziki Kenya na pia kudhihirisha kipaji chao.

Mitego Sasa Blog, imefanikiwa kupiga gumzo na msanii mmoja wa muziki wa aina ya dancehall ambaye anajiamini kwamba atakuwa mfalme wa muziki wa mtindo huo wa dancehall kwani kwa mujibu wake yeye bado kuwa na mmiliki rasmi.

 

Teferah

Basi kama vipi msanii huyo kwa jina Teferah, ameachia ngoma moto kwa jina ‘Gun Man’ chini ya Marekani Mpact music label na video kuongozwa na director Crizo Mzeyah.

Ni msanii mwenye style ya aina yake tofauti kitu ambacho kifanya ngoma inapokelewa kwa wingi kwenye media station mbalimbali kwani mashabiki wa muziki wa kazazi kipya mara nyingi hupenda muziki wenye utofauti na wenye ubora zaidi.

 

Video yake ‘Gun Man‘ ambayo inaonyesha mazingira mazuri ya Pwani beach ina mwonekanao wa juu zaidi ili kukufanaya wewe sahabiki kutazama bila kuchoka wala kukereka.

Video hi hapa chini;

Teferah video mpya- [Gun Man]

#MitegoEA.