Siku chache baaada ya Diamond Platnumz kukiri kuwa mtoto wa kiume wa Hamisa Mobetto ni wake, yameibuka mapya baada ya ugomvi kati ya wapenzi wake Diamond, Zari na Hamisa.

Baada ya kujifungua salama video viexen hyo wa bongo, sasa ametupia mapya kwenye mtandao wa Snapchat yake akijigamba kwamba yeye ndiye malkia wa ikulu ya Madale ambayo ni ya msanii Diaond Platnumz wala Zari ni mpangaji tu na anafaa kufuganya virago na kuondoka.

Licha ya mama  mkwe wa Zari ambaye ni Mama yake Diamond kumpoza maumivu ya kejeli nyingi mitandaoni kwa kumwandikia ujumbe kupitia Snapchat yake ya Mama Dagonte, sasa vita vimeibuka upya mitandaoni kati ya malkia hao wawili kwani Hamisa anadai kumzalia Diamond watoto mapacha tena. Tazama alivyoandika kwenye Snapchat yake.

Kwa sasa ameataarifu watu wa fitina na umbeya kuhusu mapenzi yake na Simba wa Madale kumkoma kwani nyumba ameingia kwa hivyo wapangaji wahame sasa.

Kisha akamwandikia ujumbe huu hapa chini kwake Diamond Platnumz.

>MitegoEA.