Kutoka hotelini hadi kwenye usanii>http://mitego.co.ke/2017/09/07/kutoka-hotelini-hadi-kwenye-usanii/

Asah kumbe nini Diamond Platnumz alikusudia kumtungia wimbo ‘Eneka na Salome‘ mrembo na malkia wa kupamba video wa Tanzania ambaye amekuwa gumzo kipindi kifupi kutokana na kujifungua mtoto na msanii huyo.

Diamond aliishia kumpa ujauzito mrembo Hamisa Mobetto na kwa sasa wana mtoto wa kiume pamoja kwa jina Dylan na ambapo palizuka kasheshe kwenye mitandao mbalimbali wakati wa ujauzito huo na baada ya kujifungua.

Hamisa alimshutumu msanii Diamond kwa kumtelekeza kwani ailikuwa siri baina ya wao waili kwani mrembo au mzazi mwenzake Diamond, Zarinah Hassan.

MITEGO SASA TV, Muda wetu sasa>http://mitego.co.ke/2017/09/20/mitego-sasa-tv-muda-wetu-sasa/

Ngoma ‘Eneka’ ilitungwa kwa kusudi kumsifia Hamisa wakati walipokuwa wanakula penzi na ‘Simba’ kwani mistari au mashairi ya ngoma ya sema. “You are my beautiful angel, Tanzania beby sweet sweet Mango”. Diamond alimficha mrembo huyo kwenye spitali ya binafsi na kugharamikia mahitaji yote hadi kulipa kiasi cha Milion 7 wakati akijifungua. Hata hivyo alimnunulia gari la kusafiria. Kwenye ‘Eneka; anaimba hivi; “I wish i could give you everything, cars, mansion and all you want oohh”

Baada ya choko choko za mashabiki, wadau wa muziki familia za wapenzi wote hao kwa maana ya Diaond, Zari na Mobetto, wameishia kukimya kwani mapenzi ni siri ya moyo. Zari alionekana na kurithishwa na hali halisi baada ya Diamond kukiri wazi kwenye vyombo vya habari kuwa aliteleza tu hivyo akajikutana alishampa mimba Hamisa lakini yupo tayari kumgharamia mtoto kama wa wake.

Zari na Diamond

Diamond wameonekana pamoja na Zari nchini Afrika Kusini wakisherehekea siku ya kuzaliwa ya mzazi mwenzake Zari iliyofanyika Jumamosi wikendi iliyopita.

Part 6: “Please Suck me”>http://mitego.co.ke/2017/09/21/part-6-please-suck-me/

#MitegoEA.