Sheilah Rono kaibukia Miss Intercontinetal Kenya>http://mitego.co.ke/2017/07/31/sheilah-rono-kaibukia-miss-intercontinetal-kenya/

Kwenye makala yetu ya kila wikendi ya wanawake warembo, leo tunakusogezea video vixen mkali.

Emily Wakio ni mrembo kutoka jamii ya Gikuyu mwenye fani nyingine ikiwemo video vixen.

Mrembo huyo ni mwanamitindo kwa maana ya model ambaye anahusika na masuala ya ‘Run way na Advertising model’. Emily amekuwa na sifa kibao kwenye video aliyohusia kama video vixen, ‘Kesi by Nadia’.

Ni msomi kwani ameshahitimu elimu ya mambo ya utalii na masuala ya utoaji huduma maarufu kama Hospitality and Tourism Management.

Hizi hapa chini ni baadhi ya picha za mlimwende huyo wetu wa makala ya Mitego Urembo.

Sudi Boy: [Mamitho]-Video mpya>http://mitego.co.ke/2017/09/26/sudi-boy-mamitho-video-mpya/

 

Wikendi ijayo atahusika mrembo mwingine na huenda ni zamu yako. Sambaza blog links ili upate nafasi hio.

Photos: Luo lady who will wet your pants>http://mitego.co.ke/2017/09/17/photos-luo-lady-who-will-wet-your-pants/

#MitegoEA.