Mkali wa muziki wa malavidavi na mapenzi tele ameachia video yake mpya na sasa ndio habari ya mitandaoni. Msanii huyo kutoka kaunti ya Mombasa Kenya ameangusha video hio mpya ambayo imeongozwa na director X-Antonio.

Sudi

Sudi Boy ameauvunja ukimya wake kwenye muziki baada ya kufanya collabo kali na msanii Timmy T Dat, Iromo’, ameamua kuburudisha mashabiki wke na wadau wote wa muziki na kazi hii mpya kwa jina ‘Mamitho’ ambapo kwenye video amehusika mwanamitindo mmoja mrembo anayeipamba video hio.

Audio ipo kwa hisani ya mtayarishaji kwa jina Jack Jack. Tazama video yake mpya hapa chini;

>MitegoEA.