Msanii gwiji na mshindi wa tuzo kubwa nchini Uganda ameachia video mpya ya ngoma yake “Yeele’ ambayo inatikisa angaza za burudani kwani ndio habari ya mitandaoni kwa sasa.

Eddy Kenzo ni mwanamuziki kwenye heshima kubwa kwani game ya muziki wake ni ya kimataifa kutokana na harakati zake kupeleka muziki kataika hatua ya juu zaidi. Ameachia ngoma kadhaa kama vile ‘Sitya Loss, Zigido, Bender, Tereele na kadhalila.

Sasa tazama video ya ngoma yake mpya hii hapa chini;

https://www.youtube.com/results?search_query=yeele

>MitegoEA.

1 COMMENT

Comments are closed.