Mwanamziki maarufu wa Rnb kutoka bongo Tanzania, anayejulikana kama Ben Pol, hivi karibuni amesikika kwenye mahojiano ya moja kwa moja akifunguka kuhusiana na issue nzima ya kimapenzi.

Ben Pol

Alikinzana na matarajio ya wengi pale alipoulizwa kama anaeza toka kimapenzi na Star wa bongo movie Wema Sepetu ama Mfanyabiashara ambaye pia ni mwanamitindo Jokate. Aliweza kufunguka na kusema kwamba,wao hawana vigezo anavyostahili yeye.

Aliweka wazi kuwa anamzimia msanii wa bongo fleva anayejulikana kama Nandy anayeendelea kuteka anga kila kukicha kwa kujituma katika mziki na biashara.

Nandy

Na; G-Deal Msanii

>MitegoSasa