Khaligraph Jones aka Papa Jones licha ya kuwa anafanya makamuzi ndani ya Coke Studio bado yupo chonjo kwenye game la muziki wake ili kuzidi kupenya na kuuza kazi zake kimataifa zaidi.

Msanii huyo mkali wa rap freestyle amekuwa gumzo mitaani kutokana na uwezo wake mkubwa wa kufanya chochote kwenye sanaa ya muziki ana sasa amepata shavu kwenye wimbo mpya wa msanii wa kike anayeishi Marekani kwa jina Mercy Myra.

Mercy ameampa shavu makali huyo wa rap hip hop laicha ya kuwa yeye ni mkali wa afro pop  na sasa collabo yao kwa jina ‘Malo‘ jina la Kijaluo inazunguka kila kona na sehemu za burudani.

“Malo means ‘UP’ in the Luo language and in the song, Mercy urges people to uplift and celebrate where they live as it is their home, even if it’s home away from home like in her case, the USA. In addition, this is an anthem of encouragement for individuals all around the world to raise the standard of excellence and acceptance “higher and higher.” While this tune sets the stage for its listeners to celebrate their communities, we can not forget to also celebrate the differences within each of us. The two combine almost effortlessly to give you this party song that will surely get you up & dancing” ndio maelezo kuhusu maana ya neno ‘Malo’.

Skiliza ngoma collabo yapo hapa chini;

>MitegoEA.