Mwanadada mmoja azua hali ya taharuki nchini Italy alipoonekana barabarani akitembea mitaani akielekea duku kuu kufanya ununuzi wa mahitaji yake binafsi. Alionekana akipita maeneo ya maarufu inakaa watalii nchini humo.

Dada huyo alikuwa uchi wa mnyama bila hata nguo yoyote huku raia wakimshangaa na kubakia kubung’aa na kurekodi video na picha za kipusa huyo ambaye hakuonyesha dalili za kushtushwa na hali yake. Barabarani alipoulizwa kama kaibiwa nguo au labda alipagawa, alisema kuwa yeye amejikuna hana hamu ya kuvaa nguo.

“I didn’t want to get dressed.” akasema

Mwanadada huyo ambaye jina lake halijulikani alikuwa na bonge la tattoo kwenye paja lake na kifuani pake huku akibeba begi jeupe na kuonekana bize kutojali maneno ya walimwengu kwani alikuwa na hearphones akiburudika na muziki maskioni. Tukio hilo limetukia kwenye jiji la kaskazini mwa Emilia-Romagna eneo moja huko Italy.

>MitegoEA.