Huu ndio ujumbe mzuri mchana wa leo kutoka  kwa malkia wa urembo mzazi mwenzake msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz.

Zari

Zarina Hassan mamake Tiffah na Nillan na watoto wengineo ni mfanyabiashara mkubwa Afrika Kusini lakini pia ni mwanamitindo maarufu na leo ameachia ujumbe wa kukupa motisha wewe kijana au mtu mwenye malengo yako makubwa maishani upendayo kuyatimiza.

Zari amepost ujumbe huu kuhusu maisha na ujasiri ili kufanikisha ndoto zako kupitia akunti yake ya Twitter;

“Everything we want is on the other side of fear…” kapost hivyo Zarina.

>MitegoEA.