Timu Wema Sepetu mwigizaji wa bongo movie nchini tanzania kwa sasa wanalichukulia poa pennzi la msanii Diamond Platnumz na Zari kuvunjika kisa Hamisa Mobetto. Mashabiki wengi wa mrembo huyo aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2006 kwenye mitandao wanaonekana kuwa kwenye mstari wa mbele kufurahia hali hio ya wapenzi hao wawili kuingia doa.

http://Bruz-newton-atambulisha-ngoma-mpya-witinesi-live/

Wema Sepetu alikuwa mpenzi wake Diamond kipindi hajapata umaarufu dunia nzima kabla ya wao kuacahana wakati ‘Simba’ alipowinda mrembo wa Uganda mfanyabiashara nchini Afrika Kusini, Zari The Boss Lady na kupagawisha watu kutokana na penzi lao nzito kabla ya juzi choko choko kuzuka kisa Diamond kuzaa na Hamisa Mobetto na hivyo Zari kumchoka Diamond kwani anadai sio mwaminifu penzini.

Wema na Diamond

Hata hivyo fununu za mitandaoni ni kuwa Wema Sepetu amerudisha penzi lake kwa Diamond kufuatia kuvunjika kwa mahusiano yake na Zari lakini jambo ambalo amelikana kabisa mwigizaji huyo kwa kupost kwenye Instagram yake kuhusu utofauti wake na Platnumz aka Naseeb Abdul Juma.

Wema ameandika kama ifuatavyo kwenye account yake hio kuhusu madai yake kuwa na Diamond tena kwenye mapenzi.

Part 25: The first Kiss

http://mitego.co.ke/2017/10/02/how-to-live-fully-to-your-sexuality/

>MitegoEA.