Tuzo za Afrimma 2017 za kuwatuza wasanii wa Afrika ili kuwapa motisha kwenye kazi zao muziki zimefanyika usiku wa kuamkia leo huko Texas Dallas Marekani ambapo wasanii wa Arika Mashariki wamepenya sana.

Tuzo ya Msanii bora wa kike Afrika Mashariki imeitwa msanii Victoria Kimani huku msanii bora wa kike Afrika ya Magharibi akinyakua msanii Tiwa Savage.

Victoria Kimani

Tuzo ya msanii bora wa kiume Afrika Mashariki, Diamond Platnumz amewabwzga msanii wakubwa wa Nigeria kama vilke Wizkid, Davido na wengineo na kutwaa tuzo hio. Daimond alikuwa ameteuliwa kwenye kipengee kimoja hicho cha msanii bora wa mwaka.

Diamond

Artist of The Year

Flavour (Nigeria)
Diamond Platnumz ( Tanzania)
Fally Ipupa- Congo
Wizkid (Nigeria)
Cassper Nyovest (South Africa)
Davido – (Nigeria)
Eddy Kenzo – Uganda
Tekno – Nigeria
Mr Eazi – Nigeria
C4 Pedro – Angola

>MitegoEA