Tuzo kubwa duniani za kila mwaka za kuwapa motisha wasanii wa bara la Afrika kwenye kazi zao za sanaa zimefanyika usiku wa jana huko Dallas, Texas Marekani ndani ya ukumbi wa House of Blues. Tuzo hizo za African Magazine Muzik Awards & Music Festival (AFRIMMA 2017), zilikusanya wasanii mbalimbali Afrika nzima.

Wasanii wa Afrika Mashariki waliofanikiwa kutwaa tuzo ni pamoja na msanii wa kike Kenya, Victoria Kimani, Diamond Platnumz wa Tanzania. Hii hapa orodha nzima ya wasanii walioibuka washindi mwaka huu kwenye Afrimma 2017.

1.Best Male West Africa – Falz (Nigeria)

2. Best Female West Africa – Tiwa Savage (Nigeria)

3. Best Male East Africa – Diamond Platnumz (Tanzania)

4. Best Female East Africa – Victoria Kimani (Kenya)

C4 Pedro

5. Best Male Central Africa -C4 Pedro (Angola)

6. Best Female Central Africa – Nsoki (Angola)

7. Best Male Southern Africa- Cassper Nyovest (South Africa)

8. Best Female Southern Africa – Babes Wodumo (South Africa

9. Crossing Boundaries with Music Award C4 Pedro (Angola)

10. Best Newcomer -Nsoki (Angola)

11. Artist of The Year – Davido (Nigeria)

12. Best DJ Africa – Dj Spinall (Nigeria)

13. Best African Dj USA – Dj Tunez (Nigeria)

14. Video of The Year -Fally Ipupa – Eloko Iyo Congo

15. Music Producer of The Year – Julz (Ghana)

16. Best African Dancer – Ghetto Triplets Kids – Uganda

17. Song of The Year – Davido – IF (Nigeria)

18. Best Lusophone – C4 Pedro (Angola)

19. Best Francophone – Fally Ipupa (Congo)

20.Best Sound Engineer -Sheyman (Nigeria)

21. Best Collaboration -Wizkid ft Chris Brown – African Bad Girl (Nigeria & USA)

22. Transformational Leadership Award -Engineer Noah Dallaji

23. Best Rap Act -Sarkodie (Ghana)

24. Dancehall Act of The Year – Timaya (Nigeria)

25. Best Video Director – Daps (Nigeria)

26. Best Male North Africa- Amr Diab (Egypt)

27. Best African Dj – Dj Spinall (Nigeria)

28. Best Gospel Artist -Nathaniel Bassey (Nigeria)

29.Best Female North Africa – Amani Swissi (Tunisia)