Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Wasanii wa muziki ufarijika na kupata nguvu mpya wanaposkia au kuona wanapewa support za kazi zao na watu mbalimbali, mashabiki pia wadau wa muziki. Msanii lengo lake kuu ni kumfikia shabiki wake  na kumpa burudani na kupitisha ujumbe kwa jamii kwani ndii vio kioo cha jamii.

Alex Mwakideu

Mtangazaji wa kituo cha radio, Radio Maisha ametaja wasanii na nyimbo anazopenda zaidi kwenye mataifa mbalimbali. Alex Mwakideu akiwa hewani ameataja wasanii hawa kama anaowafagilia kwa sasa kutokana na kazi zao safi na zenye ujumbe pamoja na burudani.

Nchini Kenya amemtaja msanii Willy Paul na ngoma yake ya ‘Jigi Jigi’, Tanzania amemfagilia msanii aliyekuwa ndani ya Yamoto Bendi, Aslay Isiahaka aka Dogo Aslay na ngoma yake mpya ‘Natamba’ Afrika Kusini amesifia kundi la muziki la Mafikizolo na ngoma yao ‘Love Portion’. Nchini Uganda hajataja msanii yeyote kutokana na alichokidai kuwa wamezembea au wamelala sana kwenye game la muziki.

“Uganda ahakuna kitu wamelala sana hao” akasema Mwakideu.

>MitegoEA

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

1 COMMENT

Comments are closed.