Mfanyabiashara na mwanamitindo maarufu kutokea Uganda anayeishi Afrika Kusini ameingia kwenye kasheshe za watani wake wa timu Wema Sepetu.

Zari Hassan mpenzi wake Diamond Platnumz ambaye kwa sasa inaonekana kuwa msukosuko wa kimahusiano, amepondwa na masahbiki wa mwigizaji huyo wa filamu za bongo, Wema Sepetu aliyekuwa mpenzi wa Diamond. Baada ya Wema kuachana na ‘Simba’ ziliibuka tetesi kuwa Zari ndiye aliyefanya akamwagwa na Diamond ili wawe kwenye mahusiano. Mashabiki wa timu zote mbili walianza cheche za maneno makali kwenye mitandao huku wakipondana kwa dharau ili kutetea pande zao.

Zari na Wema

Timu ya Wema imeonekana kumponda Zari kusema kuwa alikuwa tu maarufu baada ya kuingia kwa mahusiano na msanii Diamond kwani amemsaidia kupata wafuasi wengi kwenye mitandao yake ya kijamii kama vile Instagram na hata kudai kuwa Uganda kwao halikuwa hajulikani.

Waliendelea kusema kuwa Zari wanampokonya chochote alichofaidi kutokana na kuwa na msanii wa nchi yao Platnumz ikiwemo accont yake ya Instagram ili abaki na mashabiki wake wa awali waliokuwa wachache tu.

Hata hivyo cheche za wafausi wa Sepetu wameishia kumponda Zari kuwa alijipaka mikorogo ili kugeuza rangi ya ngozi yake ‘bleach’ kuwa mweupe zaidi. Wametupia micha ya Zari akiwa na utofauti wa rangi kama alivyokuwa zamani na hali ayke kwa sasa kwa mujibu wao.

Tazama picha hii hapa;

>MitegoEA